1
00:00:04,390 --> 00:07:22,000
Songa songa dada, usirudi nyuma Songa mbele 
na yesu Maishani mwako Ondoa hofu moyoni 
mwako usiogope yesu atatenda Usihofu dada 
usiogope kamwe Usiwe na mashaka mwamini mungu 
Usihofu Ndugu usiogope kamwe Usiwe na mashaka 
wewe songa mbele Alitenda baba kwa mama mmoja 
Aliyetokwa na damu kwa miaka mingi Alisonga 
mbele kugusa vazi la yesu Kwa ujasiri wake 
naye akapona Yajapo kukuta mazito Ondoa hofu 
Ujapokataliwa Ndugu usife moyo Ujapo dhihakiwa 
na Watesi wako Songa mbele na yesu usirudi 
nyuma

